Maswali Yako

Tupo katika ulimwengu ambao una maswali Mengi, na pengine ungependa kujua majibu kuhusu maswali fulani kuhusu dunia, Ukristo, na mambo mengine yanayotokea katika ulimwengu huu. Mungu wa mbinguni, ameweka majibu katika Biblia na ningefurahi kukuonesha majibu hayo, kwa Neema ya Mungu. Kuuliza swali, nitumie swali lako katika barua pepe raccqa@gmail.com.

Kumbuka, maswali yasiyolenga kuleta ubishi pekee ndiyo yatajibiwa. Maswali yaliyo na lugha ya kejeli au yanayoulizwa kulenga kukejeli imani ya Kikristo au nyingine yeyote sitayajibu. Andika jina "Mungu" na "Yesu" kwa kuanza na herufi kubwa. 

Majibu ya maswali haya yatawekwa katika blogu hii hii!

Mungu akubariki sana!